Tofauti kati ya foni na fonimu

 Foni>Hiki ni kipashio cha lugha ambacho ni kidogo zaidi katika mfumo wa sauti na huweza kubainika kimatamshi.

Mfano. [t], [b]


Fonimu>Hiki ni Foni>Hiki ni kipashio cha lugha ambacho ni kidogo zaidi katika mfumo wa sauti na huweza kubainika kimatamshi.

Mfano. [t], [b]

Fonimu>Hiki ni kipashio kidogo zaidi cha uchunguzi wa kifonolojia.

Mfano.Fonimu za Kiswahili /a/,/e/,/i/,/o/ na /u/ kidogo zaidi cha uchunguzi wa kifonolojia.

Mfano.Fonimu za Kiswahili /a/,/e/,/i/,/o/ na /u/

Comments

Popular posts from this blog

How we can reduce stigma against individuals living with HIV

How people living with HIV can prevent the spread of infection to others. Twenty well explained ways

Tofauti kati ya fonetiki matamshi,akustika na fonetiki masikizi